Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tatizo ManU hawajitumi/hawakabi kabisa wakipoteza mipira na wawapo uwanjani.........ukiangalia timu kama Liverpool, ManCity, Barcelona, Bayern Munich....yaani wanajituma sana wawapo uwanjani......
wachezaji walikuwa hawamtaki kocha,thats it i can clearly see it
 
Dah Noma kashatimuliwa.... Very unjust for football. Ndo tatizo la timu kuendeshwa na Wamarekani hawajui soka linavyokwenda. Haya atakayekuja naye atapewa maximum 2 yrs.Cry for Moyes
hujui unachokiongea ferguson mbona hakutumuliwa?? hivi unahisi kwa utajiri wa man u kunaowner wowote zaidi ya hawa glazer ambao wangeweza kumpa muda wote huo moyes wa kukaa ot kwa miezi 111 na marekodi yote hayo aliyavunja
 
pole sana stupid one ashafukuzwa and we are happy for that. wera wera wera weraaaa weraaaa

.....#StupidOne ee?,.....for 11yrs he built that Everton FC to be the force they are today,
don't be deceived na Mercenaries mina LUKAKU, Gareth BERRY etc,....

miezi tisa mliyompa sio kigezo cha msingi kuongoza MAN UNITED hii ya kina Evra, Rio, Van Persie
na wengineo wanaojiona wataongozwaje na DM....
 
Nzi mwenyewe uvumilivu ulimshinda baada ya mechi ya everton hapa man u fans wote tunafurahia ambae afurahii nahisi ni fergie peke yake
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha! ili tuendelee kupigwa?

Sahiv suala lililobaki ni kuwavunja moyo Tu, manake MZUNGU wetu MOYES kushatimuliwa Aisee!!!

Asa kila kocha mtakaye mtaja hapa, siye tutakuwa tunamwaga tu weakness zake!!!!

Hahahaha!!!!!
 
Dah!!!..nlikuwa naomba akae hata msimu mmoja zaid huyo Moyes..

msimu mmoja bila trophy kwetu ni mrefu sana....nyinyi na arsenal ndio mnaweza kuvumilia failures kama hizi.
 
mkuu hapa umeniangusah sana kwa comment yako hii yaani unalaumu manu kumfukuza moyes favour gani kubwa apewe zaidi ya kukaa miezi yote 11 hiyo ambayo hakustahil? so far ashkuru mungu kwa kukaa miezi yote hiyo na kuiharibu timu stupid one
 

Kilichoangaliwa sio Moyes kuchukua vikombe bali je kuna maendeleo yeyote ndani ya timu..je kuna any promising future..kwa mnaomtetea Moyes ebu niambieni ni kipi exactly alichokiongeza Moyes since kukabidhiwa timu
 
mkuu hapa umeniangusah sana kwa comment yako hii yaani unalaumu manu kumfukuza moyes favour gani kubwa apewe zaidi ya kukaa miezi yote 11 hiyo ambayo hakustahil? so far ashkuru mungu kwa kukaa miezi yote hiyo na kuiharibu timu stupid one

tangu lini Mbu akamtakia mema binadamu??? anataka aendelee kulala amng'ate tu ili aishi.
 
Last edited by a moderator:
msimu mmoja bila trophy kwetu ni mrefu sana....nyinyi na arsenal ndio mnaweza kuvumilia failures kama hizi.

hahahahah!!!!

Bado una safar ndefu ya kurudi kwenye msitari tena..

Liverpool sacked Hodgson ndan ya msimu mmoja tu, akaja Daglish naye akatimuliwa ndan ya msim mmoja Tu japokuwa alituachia kikombe cha chai cha League cup!!!!!!
 
Poleni sn Wakuu! Lkn mmechelewa sn kumtimua maana kawaingiza kwenye hasara kubwa ya kifedha na kisoka pia!

Van Gaal Yule Mzee anafaa sn Kuisaidia timu yenu kuliko huyo Big Sam!
ahsante mkuu kwa kuwa honest mi nashindwa kuwaelewa watu wengine wanaosema eti man u hawajafanya poa kumtimua moyes eti dhambi ya timua timua itatutafuna yaani siwaelewi wanafikira kwa kutumia nini yaani favour yote aliyopewa moyes ya kukaa miezi 11 bado hajatosheka ?



soo far tunamdai #stupidone hatujamalizana nae inabidiatuombe radhi kwa kuchafua c.v yetu ya man u
 
bahati nzuri wanaochagua kocha hawasomi jamiiforums.

klopp na Simeone, ishaonekana haiwezekani Tayar!!!

Kwahyo nahisi ni Van Gaal Tu, ndo kuna uwezekano huko!!!

sina shaka na Van Gaal!!!!
 
klopp na Simeone, ishaonekana haiwezekani Tayar!!!

Kwahyo nahisi ni Van Gaal Tu, ndo kuna uwezekano huko!!!

sina shaka na Van Gaal!!!!

kwanini klopp na simeone ishaonekana haiwezekani mkuu.
 
hahahahah!!!!

Bado una safar ndefu ya kurudi kwenye msitari tena..

Liverpool sacked Hodgson ndan ya msimu mmoja tu, akaja Daglish naye akatimuliwa ndan ya msim mmoja Tu japokuwa alituachia kikombe cha chai cha League cup!!!!!!

sawa tuko tayari kwahio safari ndefu....Moyes alirithi mabingwa sio walevi kama aliorithi Sir Alex....na kocha atakayekuja anajua ana wachezaji wa aina gani na atapewa GBP 150M asajili....natumaini aje Van Gaal kama wanavyosema maanake wachezaji wakubwa wakisikia wanacheza chini ya Van Gaal ni rahisi kuja kuliko chini ya MOYES.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…