Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Spurs hawashiriki Michuano ya Ulaya na Wana kikosi kizuri sana so Wana nafasi kubwa ya kukaa sawa tofauti na Man u ambao hawana kikosi kipana chenye u Bora
Kikosi kizuri kuliko Cha man u, kivipi??

Braza unaichukulia poa man u, em tupe game 5 tu then utarudi utoe conclusion, saiv usijimalize
 
Kuna tetesi glazers family ambao ni majority shareholder, wanafikria kuuza baadhi au share zote za Manchester united
Ni jambo ambalo linawezekana.

Ngonj tuone itakuwaje, lakini nitafurahi tukipata mabosi wapya
 
Kikosi kizuri kuliko Cha man u, kivipi??

Braza unaichukulia poa man u, em tupe game 5 tu then utarudi utoe conclusion, saiv usijimalize
Sio kwamba nawachukulia poa nawaambia ukweli tatizo lenu wabishi na hamtaki kukubaliana na ukweli.Man u ina sehemu nyingi zenye weakness yaani mpaka Leo mnamtegemea Maguire ambaye kwenye top 6 hawezi kuanza, hamna mbadala wa Luke Shaw, kwenye middle pale angalau mino ila wengine ni average Tieleman mmempaka maji ya jioni,Santos kwetu alikuwa namba Hana ila kwenu ana uhakika wa namba, Baleba mzuri ila injury prone, Wachezaji wenu wawili ndio Nina weza kusema Wana ubora ni Bruno na Mbeumo, Striker wa maana huna alafu unataka ushindane na Chelsea ambaye yule Estevao ni fundi haswa akija team yenu anaingia moja kwa moja kwenye kikosi lakini kwenu ni sub ni kwasababu ya Quality ambayo tunayo, Arsenal huiwezi, Man City huiwezi, Spurs nishakuambia same to Liverpool hiyo ndoto ya kuingia top 4 inatoka wapi?

Nyinyi mmefika hapo mlimpo sio kwasababu ya Quality ya kikosi chenu ni kwasababu ya kujituma na kucheza jihadi na bahati mbaya mna michuano mingi ambayo inabidi Quality iamue ndipo mtakapofeli hapo na ndio maana wachezaji wenu hawauziki sokoni nimekutolea tu mfani wa Estevao ambaye namba hana Chelsea ikiamua kumuuza hawakosi kuanzia pound mil 80 kwa huyo mchezaji tena vilabu vingi vitamgombania ni kama pia kwa Barcola pale PSG kauzwa kwa pound 106m na alikuwa Hana namba pale bahati mbaya kwenye namba yake Kuna Khvicha Kvaratskhelia kitu ambacho mmekikosa kwenye team yenu usiponielewa hapa utakuwa una kichwa kigumu.
 
Hziyech22 united ni super, tuna team ya kumfunga yoyote hapo EPL au popote ulaya
Maguire sio beki mbaya, alipitia moment mbaya tu, shaw pia ni mzuri na tuna option upande ule
Estavao ni kama amad dialo tu, hata united anaweza asipate namba.
Wewe tusubrie game tano
Kisha tutajua nani ni mzuri.
Nje ya arsenal hakuna timu naihofia kunizuia kuchukua EPL mwaka huu.

Beki tuna options nying nje ya Maguire.
Pale Chelsea lammens, Martinez, maino, Bruno, mbeumo, cunha hawa wakija ni first eleven Yako wanaingia.

Tusubrie game W5 tutajua nani yupo vizuri msimu huu
 
Nini kimewatokea hao wote uliowataja msimu jana
 
Hakika mkuu😂
 
Utakuja kukubaliana na Mimi siku si nyingi hapa unaendeshwa na mihemko
 
Na ukasema man utd ni timu mbovu
Tukamfunga Ipswich umesema Haina kiwango cha kujisifia
Sasa nakusubiri wewe uje ufanyiwe upasuaji
Ngoja nikujibu kitaalamu uchezaji wa Hull City na Ipswich upo tofauti. Hull City wanacheza defensive game na wakipata mpira wanatumia counter attack ndio maana akawasumbua wakati Ipswich wanacheza offensive game ikawa hawana quality wa kusumbua team mkubwa ndio maana wanaruhusu magoal mengi kwa namna hiyo nikasema sio kipimo halisi kwenu kutokana na uchezaji wao.Nyinyi mnashida kwenye kuzifungua team zinazodefence na ndio maana mkastruggle kupata matokeo na mnakosa quality hiyo ya kufanya hivyo kwa maana hiyo game nyingi kubwa mnashida kwasababu nyinyi mnakuwa underdog mnakaa nyuma mnasubiri counter attack ila mkikuta na team zinazodefence na zina quality kubwa kule mbele mnapata shida kupata matokeo.
 
Bingwa wa defense football na counter attack, atletco Madrid nimemfunga pre season.

Kuhusu kufungwa na hull city, subria utaona siku wewe ukifungwa na convetry.

Mwaka Jana tulisare na Sunderland mkajimaliza sana, lkn nyie na arsenal akaja kuwafunga.

Tafuta namna nyingine ya kujua mpira braza
 
Pre season sio kipimo mkuu au ujui maana ya pre season ndio maana nakuambia ni suala la muda utakuja kukubaliana na Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…