Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maguire

Your browser is not able to display this video.


Ila hii ni handball lakini V.A.R imeamua ni own goal

Your browser is not able to display this video.


Penalti ya Bruno na goli
Your browser is not able to display this video.
 
Brian Mbeumo assist kutoka kwa Bruno

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Dorgu naye alijaribu
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu hakunaga kitu inaniuna kama kuendelea kuona Bado Tunamtegemea Shaw na Dalot kule nyuma nazani umeona leo uchezaji wake dhidi ya Ipswich Yule Winger Fatuwa bwana Luke alikuwa anamwacha atangulize mpira na anashindwa kumdhibiti kwa Mbio kusema kweli tu leo tumecheza vibaya though Licha ya Goli nyingi ila sioni Timu ya kupambana kule Klabu Bingwa.

Ukizingatia sioni Stricker yenye maamuzi we Backup stricker Zirkzee kweli?..? Beki ya kushoto yenye akili timamu nayo hatuna, ujue kuna muda unafika ninajionea Huruma mwenyewe msimu huu ila ninapenda jinsi hizi changamoto zinavyojionyesha mapema kabla Dirisha halijafungwa.

Natoa kongore zangu kwa Maino dogo ananikoshaga sana anapoza dimba pale kati kama mtu mzima vile bila kusahau Le Captein en PFA winner Bruno Fernandes.

Nyie mnamuonaje Bwana Makame maana mimi sioni kitu ni kama anatukaba mwanetu 😄😁.
 
Ni winga tishio kwa mabeki ila sio Nuno Mendes kaka
 
Left backs wapo wengi, japo inafaa zaidi EPL proven km hall, lkn wanaofaa wapo wengi
Castello lukeba wa rb Leipzig ni top notch, pia tuna madogo wapo academy wanaoweza kusaidia plus Patrick dorgu
mkuu hawa hawa ma dogo wa u21 huwa nawaona na huyu Dorgu mapepe acheni basi kurahisisha mambo tutakuja tuchakazwe mpaka tuishiwe appetite ya kuchat humu mimi ninawaambia.
 
Watoe tu walisema dirisha hili watatumia zaidi ya Pauni milioni 250 hawajafikisha na muda huo usisahau wame0ata ka mgao kwa Greenwood kama sikosei Pia wamebana Pauni milioni 45 ya Rasmus, hatutaki ligi zichanganye tuanze kulia Tungejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…