verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,173
- 6,312
Nyumbu hana EPL ukame uendelee 🤣Kazi ipo leo
View attachment 3655020
Manyumbu leo kazi ipoHull tayar wamepata 1, sasa tunawasubiri nyie nyumbu mpige hizo 3 😂
Huyu muwe mnafuatilia tabiri zake kama mnataka kupiga hela kwenye bettingWakubwa I'm back again🙏
Ni wale wale vijana barobaro wa tajiri Sir Jim wanashuka leoView attachment 3654883
Manchester united inacheza leo na dunia nzima inq furaha 😁😁😁
My prediction
Hull City 1 VS Manchester united 3
Tutachapa
Uaaaaa
Malizaaaa
Chinjaaaa
Mamaeeee
Manyumbu bhana wanafurahisha kinomaMANYUMBU MLISHAANZA KUNENEPA 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Yaani serious hawa jamaa dogo tuliyewapa Haven anaanza kikosi cha kwanza.Muda bado upo, fanyeni usajili sio kuja kuomba mamasita awasaidie kuizuia The Arsenal ikifika January
Nyumbu hana EPL ukame uendelee 🤣
Hawana timu hao kelele nyingi kama chura kwenye majiYaani serious hawa jamaa dogo tuliyewapa Haven anaanza kikosi cha kwanza.
Nilikuwa sijui kama wana hali mbaya hivi...