Duuh braza km upo hotelini unaagiza misosi, lete kuku2, chips zege 2, kongoro2, juice 1, soda 2...
Sasa vyote hivyo bila kocha pia wakuwaunganisha kazi Bure, Km hizo tetesi ni kweli mnataka Luis Henrique wa Psg, Zidane, Maresca nk atawafaa asipoingiliwa na bodi, ila Kwa Zidane binafsi namuonaga km mbahatishaji hivi..