The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 249
- 286
Duuh braza km upo hotelini unaagiza misosi, lete kuku2, chips zege 2, kongoro2, juice 1, soda 2...Nasubiria kuona tutafanya sajili gani June.
Lakini watuletee winger Moja, striker 1, viungo wawili, na beki 2.
Me Bora wamlete Henrique wa Psg au wamuache carrick...hao wengine ni average km arteta tu kuna sehemu watakwama in the long run tena haswa eplDuuh braza km upo hotelini unaagiza misosi, lete kuku2, chips zege 2, kongoro2, juice 1, soda 2...
Sasa vyote hivyo bila kocha pia wakuwaunganisha kazi Bure, Km hizo tetesi ni kweli mnataka Luis Henrique wa Psg, Zidane, Maresca nk atawafaa asipoingiliwa na bodi, ila Kwa Zidane binafsi namuonaga km mbahatishaji hivi..
Wapo wanafuatilia mechi kimya kimya ila machale yanawacheza kama yote😅Mnakimbia uzi wenu mnajazana uzi wa bingwa
Haya ambao mlikuwa hamna uhakika wa daku, mnaweza kutumia hili goli kama daku