Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Najua jukwaa la liverfoolish ni viingereza tupu na hua mnajikuta mkianza kutoa michango yenu kwa lugha ya malikia. Unaweza ukazania nyie ni maprofesa kumbe wengi wenu ni mmepitia elimu ya memkwa.
Tema mate chini.
Lile jukwaa lina Watanzania wapo Anfield huko
Tuacheni kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tema mate chini.
Lile jukwaa lina Watanzania wapo Anfield huko
Tuacheni kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii nchi vituko havitakuja kuisha.😁 ety Watanzania wapo Anfield ndio mnavyo okotana huko kwenye jukwa lenu. Msituletee pigo kama zile za marehemu lufufu makandala. Aliyekua anawabatiza majambazi wa kwenye movie majina ya kihaya. Unakuta jambazi linaitwa kalekezi wakati ni lizungu pure.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I'm telling you
Tena siyo mtu mmoja Wala wawili.
Wapo wengi tu
 
Nimeona leo huu uzenge , you deserve a special qumerniner
 
Ulikaa kupoteza muda kuandika hii takataka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…