Na bado😂😂😂😂Hivi wamiliki wa Manchester United wana akili kweli? Wamemfukuza Ruben kwa sababu ipi? Aisee mie na hii club ndio basi sasa.
Management wanaamini ile timu ni ya kubeba ubingwa msimu huuAisee nadhani huyu kocha hajafanyiwa fair ..nimesikitika sana kuondoka kwake moja ya makocha bora sana waliondoka kwa namna ya ajabu
Wew nae umeanza sasa badala ya kuomba huyu kocha wenu mwenye bichwa ka fuvu la dagaa (slot ) atimuliwe ila upo bize unataka shaolin monk 10 hag arudi.Ila hii timu😂😂😂😂
Haya mrudisheni profesa wa gengeni 7Hag
Hii timu hadi Masihi atarudiWew nae umeanza sasa badala ya kuomba huyu kocha wenu mwenye bichwa ka fuvu la dagaa (slot ) atimuliwe ila upo bize unataka shaolin monk 10 hag arudi.
Ngoja tuone mda utaongeaHii timu hadi Masihi atarudi
Ataikuta kwenye mahangaiko
Kwa kikosi alichokua nacho wamemuonea haswaa, kuna mchezaji anaitwa Yoro dah! nikimuangaliaga huwa acheka, kalegea kama anashindia biskuti, eti ndio utegemee amzuie halland, kweli?? Kuna chezaji jingine linaonekana vuta bangi kbs Dorgu sijui.Aisee nadhani huyu kocha hajafanyiwa fair ..nimesikitika sana kuondoka kwake moja ya makocha bora sana waliondoka kwa namna ya ajabu
Aliletwa na nani?Kwa kikosi alichokua nacho wamemuonea haswaa, kuna mchezaji anaitwa Yoro dah! nikimuangaliaga huwa acheka, kalegea kama anashindia biskuti, eti ndio utegemee amzuie halland, kweli?? Kuna chezaji jingine linaonekana vuta bangi kbs Dorgu sijui.
NyumbuNgoja tuone mda utaongea
Ila washabiki wa liver foolish, ebu tuliza mshono😁Nyumbu
Tabu ipo palepale😂😂😂😂😂
Wana matatizo sanaIla washabiki wa liver foolish, ebu tuliza mshono😁
Tangu tuwape kipigo Cha bao saba kwa nunge, hamjawahi kukaa sawaIla washabiki wa liver foolish, ebu tuliza mshono😁
Kama huyu binti Saint Anne hua ana roho nyepesi sana mfano ni kwenye game ya Tanzania na Morrocco. Alikua anafuraha huyu binti. Naolishindwa kuusoma na kuelewa mchezo mapema tokea mwanzo kuwa ilishapangwa Tz atoke na refa kaisha pewa mtonyo.Wana matatizo sana
Nani alitoa hiyo hela? Kama ni Morroco walikua na sababu gani ya kutoa hela?Kama huyu binti Saint Anne hua ana roho nyepesi sana mfano ni kwenye game ya Tanzania na Morrocco. Alikua anafuraha huyu binti. Naolishindwa kuusoma na kuelewa mchezo mapema tokea mwanzo kuwa ilishapangwa Tz atoke na refa kaisha pewa mtonyo.
Refa mjinga sana yule BabaKama huyu binti Saint Anne hua ana roho nyepesi sana mfano ni kwenye game ya Tanzania na Morrocco. Alikua anafuraha huyu binti. Naolishindwa kuusoma na kuelewa mchezo mapema tokea mwanzo kuwa ilishapangwa Tz atoke na refa kaisha pewa mtonyo.
Kwa aliyeangalia ile mechi atakubaliana na mimiNani alitoa hiyo hela? Kama ni Morroco walikua na sababu gani ya kutoa hela?
View attachment 3526291