Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maressa pamoja na mafanikio yake ndani ya miezi 18 pale Chelsea na amefukuzwa, Ila kuna vitimu makocha wao n wanasesere ila bado wapo tuu 😂
Maressa akifika man U na arsenal anaweza kuwa kocha wa maisha 😂
 
Viazi vikamdanganya dirisha la January watasajili. January inafika yakamkimbia
 
makocha wengi hawapendi kuingiliwa majukumu yao ,wanapenda wao nd waamue karibu kila kitu kinachohusu wachezaji.. nadhani hi ya kuweka vitengo vingi kwenye muundo wa kiuongozi wa timu kwa kiasi fulani inaminya authority's decisions za makocha.. na wengi wao huwa hawakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…