Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliwahi sema humu utd hatukuwahi kuwa na tatizo kubwa la kiungo wala beki, tatizo letu kubwa lilikuwa na goli kipa na wachezaji wavivu wavivu hasa washambuliaji na hawakuwa timu player kama Hamad, kwa sasa tunao wazee wa kazi kule mbele shughuli tunaiona.
 
Wale wazee wa kazi wanabalaa lao, unaweza tapika nyongo si kwa ule msako
 
Watu walipiga kelele sana wakati madogo wanatolewa, lakin wale ni sehem ya tatizo. Walijikuta miungu watu


Look at united pale mbele sasa?
 
Kashinda nne kafungwa mbili

asante liverpool kwa kuturudisha kwenye mstari
 

Attachments

  • Screenshot_20251025_224938_FotMob.jpg
    69.5 KB · Views: 12
Dirisha dogo tusajili LWB na kiungo mmoja Baleba Carlos
Top four tutaweza kuipambania.
Amorin ni kocha wa project, hivyo matumaini yangu ni atakuwa anaboresha timu siku Hadi siku mpaka tuchukue EPL 2028
 
Tusogee mdogo mdogo, tukomae na mechi zetu...Before dakika za sabini pale mbele palikuwa pa Moto kweli kweli, Mbeumo, Cunha tuombe wasiumie waepushiwe na majeraha, inabidi tuzidi kupata momentum...hawa wawili hata wakiwa na game mbaya ni tofauti na wale walioondoka...

Jamaa walikuwa wanakuja kwenye zile DK za jioni Hadi unaogopa.
 
Ndio ujue kule benchi hatuna sub za maana inabidi usajili ufanyike tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…