🎙 " Kama Glazers wangenambia nimfukuze kazi Reben Amorim nisingeweza kufanya hivyo bali ningeomba wampe muda zaidi".
" Ruben Amorim hajapata muda wakutosha kuunda timu yake bora Anahitaji muda angalau miaka mitatu kutupa mafanikio"..
" Vyombo vya habari vya Uingereza sivielewi vinataka nini kwani wanaamini mafanikio huja kama swichi ya Umeme ukiwasha tu Mwanga unatokea, Huwezi kuendesha timu kama Man United ukasikiliza hisia za waandishi wa habari hautafanikiwa kwa hilo"
Mchizi boti unayumba, mwanaume akimbii majukumu, kuwa shabiki la manyumbu ni jukumu lako hivyo usikimbie,, hahaha hili timu ndio ulilipenda hivyo kifa naloo haha mchizz botiiiiii
Mchizi boti unayumba, mwanaume akimbii majukumu, kuwa shabiki la manyumbu ni jukumu lako hivyo usikimbie,, hahaha hili timu ndio ulilipenda hivyo kifa naloo haha mchizz botiiiiii
Timu ni mbovu kwa sasa na hata suruhu ya hilo tatizo haijulikani.
Tushabadili Makocha, wachezaji mpaka benchi la ufundi na uongozi kwa ujumla, lakini ngoma ngumu.
Kwakua sina uvumilivu ndio maana siangalii mezi za timu yangu.
Ila mimi ni United mwanzo mwisho.