Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Barobaro boys leo tena kukiwasha

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3

Watapigwa sana wale wakora
🀣🀣🀣 Ila allypipi akipigwa vizuri atesema hua anapewa kiasi gani na muhindi, maana sio kwa kuwachania watu mikeka yao kiasi hiki.
Mwamba kwa heshima yako kwenye jukwaa hili tunakuomba retire kufanya predication kwa hiari yako mwenyewe kabla hatujatumia nguvu kukuretiredisha.
 
Barobaro boys leo tena kukiwasha

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3

Watapigwa sana wale wakora
Tatizo kumbe lilianzia hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Barobaro boys leo tena kukiwasha

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3

Watapigwa sana wale wakora
And vice versa is true.
 
Barobaro boys leo tena kukiwasha

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3

Watapigwa sana wale wakora
Upewe maua yako,Huwa unatusaidia sana, ila kuna timu nyingine huwa zinatuangusha pia.
 
Eti wapinzani watatishika kakuongopea nani izo pigo zilikua zamani tu fergie kasepa nazo sasa hivi hapo epl haogopwi mtu yoyote ukiyakanyaga unakandwa tu
 
Hii timu ni mbovu yote kuanzia kocha hadi mchezaji mmoja mmoja. Bruno tutambebesha mzigo tu.

Mchezaji akipata mpira huoni akiwa na njaa ya kutengeneza nafasi, wote wanatetemeka miguu, waoga, wazito ni kama wana msongo wa mawazo timu nzima.
Shida ni nini saikolojia ama maana hii timu ni kubwa kuliko wao wanavyofikiria kabla hawajasajiliwa
 
Hizi goli zote zilikuwa zinaepukika, Tulisema post za nyuma kuna hizi timu za Brentford, Forest, Bournemouth, Newcastle zinakuja kutulaza na viatu na sasa hivi Kaongezeka Crystal palace, Everton, just imagine five defenders wanashindwa na watu wawili au watatu Tu, tunafungwa kilaini Sana.

Hawa watu kama kina Maguire, Shaw, Dalot Wana vimakosa ambavyo vimetuumiza Sana, hata ukisema umtimue kocha wachezaji bado ni wale na mentality zao ni zile zile. Wale Jamaa Jana tumecheza mpira wao kabisa, Kocha afanye maamuzi magumu Tu, kuna Seniors inabidi wapumzike Kwanza. Game ijayo tuna Sunderland ambao ni wa Moto kweli na wako vizuri mno, Combo ya Maguire na De Light haina chemistry kabisa, wote wazito hawana Pace ni hatari Kwa timu zinazocheza long balls...

All in all yesterday timu nzima ilikuwa hovyo, hatua moja mbele, hatua mbili nyuma.
 
Kocha mwenye akili zako timamu unaanza na Luke Shaw kama beki wa kati? tena pacha na Maguire ????

Kocha msenge msenge
 
Shida ni nini saikolojia ama maana hii timu ni kubwa kuliko wao wanavyofikiria kabla hawajasajiliwa
Timu inatrain kwa level ya timu za League One au Serie B.
Wakicheza na timu za madaraja ya chini ya League one na Championships wanacheza vizuri tu.

Hapo tatizo ni Coaching Staff za Fitness, Conditioning na System coach ambazo Manager na Assistant wake huwa wanazikuta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…