Mtu wa maana sana wewe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Barobaro boys leo tena kukiwasha
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16] [emoji16]
Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3
Watapigwa sana wale wakora
Kwa timu ipi mpaka tuhitaji makombeNyie wajinga hivi Kwa akili yenu mnafikiri man u inaitaji makombe
Utd tumebakishq kirus mmoja tu Bruno.
Utd tumebakisha kirus mmoja tu Bruno.
Nyumbu haujawahi kuwa na akili, unge badilisha tatu kuwa 1 unge onekana sio chiziBarobaro boys leo tena kukiwasha
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha π π
Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3
Watapigwa sana wale wakora
Tuseme inshallah, man u hii kama kobisi tu ππ makaveli10Kipindi cha pili tusawazishe then tupige la ushindi
Umepatia kabisa ulichopaswa kuandika ni Brentford 3 na Manchester united 1 ,ulikuwa na idea kama ningekuwa mwalimu ungepata 2.5/100Barobaro boys leo tena kukiwasha
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha π π
Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3
Watapigwa sana wale wakora
Daaahπ€£π€£π€£Tuseme inshallah, man u hii kama kobisi tu ππ makaveli10
π€£π€£π€£ Ila allypipi akipigwa vizuri atesema hua anapewa kiasi gani na muhindi, maana sio kwa kuwachania watu mikeka yao kiasi hiki.Barobaro boys leo tena kukiwasha
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha π π
Prediction
Brentford 1 vs Manchester united 3
Watapigwa sana wale wakora