Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukweli ni kuwa utd siku hizi hainde uwanjani kucheza huwa wanaenda kuzuia tu hadi wanapofungwa ndio wanaanza kucheza. Kifupi ni kuwa mfumo wa kocha umefeli na kocha hii timu binafsi naami hatoiweza.

Utd itaponywa na kocha mwenye DNA ya utd kama Rud Van Nestroy na Solksher japo Solksher aliponzwa na ubaguz wake wa wachezaji na kuwapendelea Rashford na Martial huku akimweka bench Cavan na Igalo. Naamini kwa usajili huu hii timu akipewa Rud Van Nestroy tutawapiga watu sana kwa sasa utd wanacheza bila kujiamini nadhani mfumo unawatesa na hivyo wanashindwa kuwa huru uwanjani na kuonesha uwezo binafsi.
 
Tupo na nyny mpk mshike nafasi ya 20 kumuenzi marehemu Diogo Jota
 
Mnataka waje malaika wacheze
 
Huyu kijana sio wa kugombania namba na Bruno Fernandes ...

Bruno Fernandes arudi namba 10 na huyu akae namba 08.....

Dakika 18 pekee Kobbie Mainoo katengeneza nafasi mbili, kapiga pasi 17 bila kutoa chafu..

Sio mchezaji wa kukaa kwenye mbao huyu na sio mchezaji kushindana na El capitano..

Kila mtu apewe majukumu yake halali , ukishindwa kulinda kipaji cha Kobbie,hata cha Baleba hauwezi kukilinda pia ....
 

Attachments

  • 1757878580548.jpg
    492 KB · Views: 18
Ukifugwa na timu zote hizo ina maana unashuka daraja, pointi yako ni hiyo?
 
Na kumbuka mechi ijayo mnacheza na Chelsea the Brentford + liverpool🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Tatizo lilishakuwepo tangu dirisha la usajili lifungwe baada ya kushindwa kusajili kiungo mkabaji aina ya Baleba. Angalia jana tulivyokuwa ovyo kwenye kiungo.

Pia timu haina nguvu kwenye kujenga mashambulizi, maana unakuta hata kwenye 18 ya adui hawaingii kwa wepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…