Kwa sasa hivi, sisi ni timu ya kawaida sana, tumebakisha jina tu basi tupotee mazima,
Wachezaji kama Amad, Mazeoue, Ugarte,Yolo, Dorugu, De Light, Sesko mbeumo si wakucheza Man united, ni wachezaji wa Daraja la chini kabisa, hatuwezi kuachieve chochote na wachezaji hawa, tunasikitisha na hatujui ni lini tutajipata tena.