Manchester United (Red Devils) | Special Thread

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Fulham XI: Leno; Tete, Andersen, Bassey, Castagne; Berge, Lukic; Sessegnon, King, Iwobi; Muniz

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man Utd XI: Bayindir; Yoro, De Ligt, Shaw; Amad, Casemiro, B. Fernandes, Dorgu; Mount, Cunha; Mbeumo
 
Ni leo tena watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro hawa wanashuka kuja kuwapea kichapo cha aina yake hawa vijana.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction
Fulham 0 vs Manchester united 4

Watapigwa sana wale vijana💪👹👹
 
Huu mpira wa kisasa umekuja kuwa wa kingese kweli... mchezaji anasajiliwa zaidi ya wiki mbili anafanya training halafu anaanzia bench kmk.

Wiki ya kwanza ukiuliza unaambiwa fitness, gameweek 2 yupo tena bench... utaambiwa anazoea mfumo wa kocha.

Mpira umekuja kuwa na ungese-ungese sana, details nyingi halafu uwanjani hamna kitu.

Striker ni moja ya position sioni utofauti kwenye majukumu yao, ila ungese wa modern football mpaka striker ameongezewa majukumu.
 
Sasa unataka huyu fundi wa mpira ndio akae benchi?
 
Nyumbu huyu kipa wenu program ya set pieces husuani Kona haipo kwenye mfumo wake ama?
 
Ngoja tusubiri gemu iishe, Hadi sasa halftime Jamaa wametukosakosa kweli kweli, baada ya zile DK 14 za mwanzo naona tukarudi chini hatutishi tena kwenye boksi. Let's wait and see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…