Wharton wa crystal palace me naona Kwa midfield anafaa sana kuliko hujlmud wa sporting cp au Angelo stiller wa Stuttgart ambao naona tuna tetesi nao.
Tunaweza kuchukua wote Wharton dirisha na baleba dirisha lijalo.
Msimu huu hatutii huruma timu imesajili kuliko tulivotarajia