Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wenzenu washapata lao moja, bado yenu matatu..
 
Kipa kwenye mipira iliyokufa anakubali kubanwa na genge la aseno anashindwa hata kuwatoa upande wake?
 
Ally papi tapeli sana si alisema aseo watapata moja wao matatu sasa matatu ya manyumbu yako wapi?
 
Timu bora iko nyuma ya goli moja

Apo bado Chesco matunda yupo bench
 
Hii mechi imeamuliwa na ubora wa kipa wa arsenal na ubovu wa kipa wa man u. Kiukweli utd haijawahi kuwa na kia wa bovu kama waliopo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…