Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah umeongea ukweli mtupu kiongozi.
 
Sir Jim " tunajenga uwanja wa 100,000 attendance, hii itatupa mapato zaidi kwenye viingilio kuliko timu yoyote england na itafanya tuweze kusajili Kwa nguvu kubwa sokoni, hii mashabiki katika mwanzo wake hawawezi kuelewa lakini ni project ambayo italipa na sisemi inazuia sisi kusajili, hapana lakini inatupa njia ya nini tufanye."

Cunha na mbeumo...tupate striker, GK na middle Moja....top four uhakika....timu ipo vizuri, naamini project ya 2028 kuchukua EPL hii inalipa na viongozi mipango wanayo.
 
Kwaio Casimiro mmemrudisha umri nyuma?

Bruno amewahakikishia atacheza mpira na sio kulalamika ovyo uwanjani kama yatima?

Dalot amesema atacheza kama marcelo?

Mount amewaahidi sasa hivi atajikaza?

Maguire atarudu yule wa kipindi yupo Leicester city?

Yolo ndio kama saliba wenu?

Ugarte kama ngolo kante wenu au sio?

Nyumbu kuweni serious brand yenu na takataka mlizokuwa nazo sijui wapi mmekosea.
Hatutaki lawama fanyeni usajiri wa maana
 
Nishawambia labda mshinde kwa magoli ya kona, tofauti na hapo mtake msitake. Tutawashenyenta tu.
 
Unamuonaje Carlos baleba kama CDM, maana kwa striker naona ni Benjamin sesko tu na tayari keshasema anaitaka man united.
 
Unamuonaje Carlos baleba kama CDM, maana kwa striker naona ni Benjamin sesko tu na tayari keshasema anaitaka man united.
Baleba Yuko sawa lakini naona kocha anamtaka hojlmund wa sporting Lisbon, pia baleba wale Brighton kwenye biashara Wana bei za juu tusubrie...sesko ndio amebakia sokoni naona anafaa huwezi mlinganisha na hojlund...
 
Attachments

  • Screenshot_20250728-151938.png
    994.5 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…