Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sie tumchukue Olie Watkins wa Aston villa...me naona amorin anafanya poa kuchukua wachezaji EPL.
kipa pia tunamchukua de gea au Martinez wa Aston villa...na hizi sajili naona zitawahi sana kidogo itasumbua ya Watkins
 
Ni kweli lakin ngoja tujipe mda tuone itakavyokua namini clu watalifanyia kazi hizi nafasi muhimu.
 
Hivi hawa Barca wanataka output ya Rashford ndani ya uwanja au nje ya uwanja?
Kusema kweli Rashford style of play hafit kwenye mfumo wa Barca na Barca hawezi kubadili aina yao ya uchezaji kumu accomodate Rashy, so ni kwa sababu za kibiashara zaidi nadhani.
 
fuentte felakuti Fabrizio anasema isak keshawambia huko Newcastle tayari kwamba anataka kwenda Liverpool kwahiyo tutegemee here we go soon. Management ya Liverpool hawana utani msimuu huu dah inabidi tuzibe nasie vilaka sehemu muhimu maana bila hivyo tutakuja kuzalilika vibaya mno tukikutana na Liverpool.
 
Dah mkuu nataman sana tungekua na watu serious kama management ya Liverpool ..Yan wako very strategic sana...isak akitua pale itakua disaster ..naona ndoo ya epl inarud kule kule Liverpool ..
 
Dah mkuu nataman sana tungekua na watu serious kama management ya Liverpool ..Yan wako very strategic sana...isak akitua pale itakua disaster ..naona ndoo ya epl inarud kule kule Liverpool ..
Ndio hivyo arsenal Ana hali ngumu sana, mancity cdhani tena kama atareta competition kwenye ubingwa wa ligi.
 
Ndio hivyo arsenal Ana hali ngumu sana, mancity cdhani tena kama atareta competition kwenye ubingwa wa ligi.
🚨🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Manchester United will NOT join the race for Alexander Isak. He’s seen as TOO EXPENSIVE. ❌

Management inachekesha sana...Ina mana man u ni klabu maskin kwa sasa.mkuu.au sijaelewa
 
Ndio hapo namie nashindwa kuelewa mkuu yaani tunapitia kipindi kigumu sana, hata wachezaji wengi wazuri hawatutaki kabisa.
 
Bagabeach Flano ze-dudu Mbabani NtYga Greatest Of All Time. Mtie neno hapa kama sababu ni financial fair play au kuna tatizo lingine.
 
Wale jamaa msimu huu wako serious sana utadhani waliponea chupuchupu kushuka daraja.

Kwa mtizamo wangu, Liverpool wanalenga mashindano ya Ulaya hasa kwa kipindi hiki ambapo timu kubwa nyingi kama Madrid, Bayern na City ziko kwenye rebuilding mode.

United haiko wazi sana kinachotukwamisha kwenye usajili ni pesa au wameongeza umakini kwenye kusort wacheza na kuepuka ku splash pesa kwa wachezaji wa kawaida. Ngoja tuone mwisho wa dirisha na mwanzo wa msimu matokeo yatakuwa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…