Ndio maana Madrid wanafanikiwa kwasababu mchezaji anataka timu yeye mwenyewe, kwanza hawasumbuani na mchezaji. Sasa sisi tunasumbukaaa weee.Yaani sipendi demu anapomsikilizia jamaa amuoe akiona jamaa anadem mwingine ndio arudi kwako, huyo namwaga tu, wachezajinkama hawa hawana nia ya kuichezea timu. Ile tunayopenda mchezaji acheze kufa kupona uwanjani sio hawo wanaochagua chagua.
Ndio maana sijapenda kuuzwa
1. Scott McTominay
2. Frederico Rodrigues Santos
3. Aron wan bissaka
4.
Hawa mpaka kesho nitaalani aliyewauza
Ukipata wachezaji stahiki ni mfumo mwepesi sanaMfu
mfumo wa 3:4:2:1 naona ni mfumo mgumu sana.
Kocha msimu ujao awe flexible yaan awe na substitute ya mfumo wa either 3:5:2 au 3:4:3
Wala hata hatukomai nae asijipe sana umuhimu kwenye timu yetuUnakomaa na Gyokeres ambaye anataka aende Arsenal kwaajili ya UEFA na Arsenal wanasikilizia Kwa Sesko kwanza. Tena si kwamba utamfaidi sana ni misimu mitatu tu ashafika 30yrs. Nadhani tuzame tutafute mwingine huyu jamaa Kuna mahali (Arsenal) ndo anaisikilizia, akiikosa atatufikiria na sisi, huku ni kupotezeana muda.
Nadhani mgt yetu iache kumpigia pigia na kuuliza uuliza Kila mara. Tukomae na wachezaji wa umri mwisho 25 yrs tu.Wala hata hatukomai nae asijipe sana umuhimu kwenye timu yetu
We jamaa hapa ulikua umeshiba makande 😂Mancity msimu ujao atakuwa championship,maana inasemekana wachezaji wa mancity walivujishiwa habari kuwa msimu ujao watapelekwa championship kwa ile kesi Yao ya 115charges ,ndio maana wamekata tamaa wanajionelea ya nini wapambane wakati hawatabaki EPL
MANJESTA inabidi ashuke daraja pia tushihudie Manchester derby huko Championship msimu ujao
Mkuu Mbeumo tayr deal hiv sasa ni asilimia 90 tunampataMbeumo tukifanya masihara tunamkosa hivi hivi aiseeeee
Washambuliaji wajiandae kuwindwaHere we Go Dudukwe to Manchester united View attachment 3372003
Embu toa utabiri mkuu watu tupate hela za bure chief😂Mechi zetu za mwanzo.View attachment 3374302
Huyu jamaa msimu uliopita bora alishtuka akaacha kutabiri, angeendelea angewashusha wenzie daraja 😂😂Embu toa utabiri mkuu watu tupate hela za bure chief😂
Naona jamaa ilibidi wamfuate inbox aache kutabiri la sivyo wangeenda kuungana na kina Wycombe wanderers kule championship 😂Huyu jamaa msimu uliopita bora alishtuka akaacha kutabiri, angeendelea angewashusha wenzie daraja 😂😂
Huyu mbona kama mHadzabe.Here we Go Dudukwe to Manchester united View attachment 3372003