Tungekuwa UEFA msimu ujao huyu Gyokeres tungemnasa maana Arsenal wana komaa na Sesko. Gyokeres Kuna timu anaisikilizia akiikosa basi United itakuwa ndo destination yake ya mwisho, tatizo ni UEFA, wachezaji wote siku hizi wanataka kucheza lile kombe.