Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Sikatai ni vigumu sana kwa kocha kuchukua timu mpya na kuipa ubingwa msimu huo huo ingawa wapo wawezao kufanya hivyo...lakini siamini kama hiyo ni excuse ya mchezo mbovu tulionesha msimu huu..sio excuse ya Moyes kukosa first eleven msimu mzima..pia hiyo excuse iliyomfanya Moyes ashindwe sajiri kipindi cha summer ningemuelewa kama tungeshindwa tetea ubingwa tu lakini sio kustruggle nafasi ya saba huko na hata basi let's say ligi ni ngumu tungependa kuona Manchester inacheza mchezo mzuri nafikiri Moyes akuletwa Man U aishushe timu to zero kwanza ili baadae ndio aanze kuipandisha nachoamini aliletwa aendeleze pale alipoishia SAF kwa namna yake mwenyewe..
Si muhukumu Moyes kwa kutochukua EPL msimu huu namuhukumu kwa namna Manchester inavyocheza namna anavyoset up game plan ya kila mechi namna anavyopanga kikosi namna anavyofanya substitution pale inapoitajika namna anavyowatumia wachezaji kadri ya uwezo wao..wachezaji wamepoteza hali na morali...
Can we stand confidently and say Moyes ameongeza kitu katika timu kiufundi...
Seriously hata mimi nilimuamini Moyes kabisa ila sa hivi namuangalia katika angel nyingine naona NO Something is wrong here..
Mkuu Inzi hapo ntakukatalia Man U aliyoikuta Moyes si sawa na Liverpool aliyoikuta Rogers..
Wasiwasi wangu yasije yakatukuta kama yale ya Liverpool kwa Roy Hudson au ya arsenal maana wanashindwa kuelewa tatizo ni timu au ni kocha kutopata vikombe..napata shaka na ya mbeleni chini ya Moyes
 
Last edited by a moderator:
Naamini uyo mtu atawasaidia sana ikiwa atapewa muda wa kuiandaa timu anayotaka yeye na si ile aliyoirithi
 



Mkuu mi kwa mtazamo wangu naungana na Wewe Ktk hoja zako kwamba huenda Moyes kaongeza shida!

Wakati Moyes alipotajwa kufundisha timu ya Man Utd Mimi nilisema kwa mashabiki Wa Man Utd Lkn sio hapa Jf Kua Huyu kocha haiwezi hii timu na sizani km ataweza kuvaa Viatu vya SAF! Na kweli hayo ndio yaliyotokea!

Moyes anamapungufu mengi sn kwa timu ya man Utd hasa kubwa ni kukosa amri kwa wachezaji!
 
Mkuu Nzi Pamoja na maelezo yako mazuri Lkn kuna udhaifu Fulani kwa DM unaojionesha!

Ngoja tuone msimu ujao km ulivyosema Lkn Mimi binafsi sitegemei km atafanya mambo mazuri sn! Huo ndio uwezo wake!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nzi Pamoja na maelezo yako mazuri Lkn kuna udhaifu Fulani kwa DM unaojionesha!

Ngoja tuone msimu ujao km ulivyosema Lkn Mimi binafsi sitegemei km atafanya mambo mazuri sn! Huo ndio uwezo wake!

hee uko huku sasa unataka kuchafua hali ya hewa??!! mwenzio agosti 8 umemwacha wapi??
 
Last edited by a moderator:
hee uko huku sasa unataka kuchafua hali ya hewa??!! mwenzio agosti 8 umemwacha wapi??



Khe Khe Khe Khe Khe Khe

Mkuu Kwani mimi ni mchafuzi? Anyway usinielewe vibaya Mkuu ni mambo ya Mpira tu haya!

Mmmmmh! Nimekua nafatalia mijadala yenu sema tu sikupata nafasi ya kutoa hoja zangu na kingine DM katufanya ata sisi ambao sio mashabiki Utd tumekua wazito sn kuja kwa thread yenu hii! Maana kwa nijuavyo Utd ako fans wengi sn! Km timu ingekua km wakati Wa SAF basi humu mijadala ingekua Mingi sn!

Lkn Mdudu Nzi ni mshabiki nguli kabisa Wa Utd Maana ndie aliebaki peke yake analisongesha Ktk hii thread!

Teh Teh Teh Teh Teh

Umenifurahisha sn Mkuu!

Anyway! Si itikadi ya Utd kufukuza makocha! Lkn kwa msimu ujao km dalili zikianza kujionyesha mapema kwa Moyes kushindwa unazani watamfukuza?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu agosti 8 yupo tu Nafikiri Na yeye kwakua tumemtaja hapa bilashaka atakuja kutoa maoni yake km atapenda!

Dah! Mkuu RRONDO Pamoja sn Mwana!

Mimi hizi threads zote zangu Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu agosti 8 yupo tu Nafikiri Na yeye kwakua tumemtaja hapa bilashaka atakuja kutoa maoni yake km atapenda!

Dah! Mkuu RRONDO Pamoja sn Mwana!

Mimi hizi threads zote zangu Mkuu!

karibu hapa hapa jumapili wakati tunamvuruga Everton....Arsenal wote watakuwa wanashangilia man utd!
 
Everton FC wanatafuta top 4 kwa bidii sana. Leo wanawashusha Arsenal kwenye #4.
Everton watawaumizeni na pia Man City ajiangalie..ubaya wa Everton wanacheza 4-4-2 sawa tu na nyie Man Utd; ila wao wanacheza 'narrow 4-4-2' kama ya ATM. mabeki wao wa pembeni hatari sana.
udhaifu pekee wa Everton Fc mabeki wa kati; huwa wanaruka hewani bila akili..
ila mechi itakuwa nzuri kutazama..
Mkuu agosti 8 yupo tu Nafikiri Na yeye kwakua tumemtaja hapa bilashaka atakuja kutoa maoni yake km atapenda!

Dah! Mkuu RRONDO Pamoja sn Mwana!

Mimi hizi threads zote zangu Mkuu!
 

itakuwa vizuri wakitufunga ili Arsenal akose namba nne.....kila mwaka Arsenal wanapata namba nne kwa bahati....
 
Mwaka huu umejaa fitina fitina tupu jirani..yaani kila mtu anataka mwenzake aumie..

SWALI LANGU KWAKO.

Eti ni sawa kweli Ashley Young kulipwa paundi 118,000 kwa wiki; na kijana fundi kama Januzaj anapata paundi 40,000?

Mtani hili limekaaje?:shock:
itakuwa vizuri wakitufunga ili Arsenal akose namba nne.....kila mwaka Arsenal wanapata namba nne kwa bahati....
 

Ashley Young ni mzoefu,huko alipotoka alikuwa anapata zaidi ya hio 40000,alipokuja watu walitegemea atakuwa bora kuliko alivyo,Januzaj ndi kwanza katoka academy subiri mkataba wake utakaofuata uone atapewa kiasi gani.
 


Khe Khe Khe Khe!

Mkuu agosti 8 ndugu RRONDO Sijui anamtakia nani heri?!

Maana sisi ndo kabisa hatutaki, arsenal ndio hivyo! Kwa Liverpool na City Sijui hapo atakua wapi?
 
Last edited by a moderator:
United will back next season hungrier for titles and registration of new players will go absolutely well. The rest should begin worrying.
 
he he he he he he watu washaanza ku-beep GBP 260,000 a week si mchezo

[h=1]Transfer News: Agent denies Manchester United offer for Toni Kroos[/h]












Toni Kroos: Bayern Munich midfielder strongly linked with Manchester United




Sky Bet
[h=4]Everton v Manchester Utd[/h]






Pep Guardiola remains keen to keep Toni Kroos at Bayern Munich after the midfielder's agent denied reports that Manchester United had made an offer.
Kroos only has a further season to run on his Bayern contract and he has been heavily linked with a move to Old Trafford in the summer.
Speaking last month, Kroos acknowledged that the Premier League was an 'option' and suggested that, if he decided to leave the Allianz Arena, a lack of UEFA Champions League football would not necessarily rule United out of the running.
Reports have claimed that United are ready to offer Kroos a £260,000-a-week deal to move in the summer amid suggestions David Moyes sees the Germany international as a key figure in his rebuilding plans.
[h=3]Player Profile[/h]
[h=3]39. Toni Kroos[/h]
  • Appearances 40 (6)
  • Goals 4
  • Assists 11
  • Yellows 8
  • Reds 0
  • Current Season



However, Kroos' representative Volker Struth dismissed the rumours and also stated that the 24-year-old will be staying at Bayern next season.
"We have not received any official contract offer [from Manchester United]," Struth told BILD.
"There is also no need to submit an offer as Toni will be with Bayern Munich until June 2015."
Confirmation earlier this week that Bayern had agreed a deal to bring in midfielder Sebastian Rode from Eintracht Frankfurt added weight to claims the club are preparing for life after Kroos.
However, Bayern have repeatedly insisted that Kroos will not be sold at the end of the season and Guardiola is hoping that he will sign a new contract with the Bundesliga champions.
Guardiola said: "We want to carry on with Toni Kroos. Still, it will be his decision in the end."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…