Hadi mtaalamu wa kazi maguire🤣Ushabiki naweka pembeni, man u kwa bland yenu na mahitaji ya timu ambayo inataka kupambania ubingwa,
wachezeaji wafuatao (️) inabidi wawapishe
Tafuteni kocha
Punguzeni mdomo, kocha atakaekuja mumuache afanye kazi yakeView attachment 3341925
Shida sio fedha, mipango mibovu.Wakat ule tunasema timu wapewe yule mwarabu ambaye kiuhalisia ni shabiki wa kutupwa wa hii timu mkamuona mavi ,,,mkaleta uingereza wa kipumbavu, na zaidi mashabiki nao ni mapalamanga mambuzi tu hata wao wamechangia kwa kias kikubwa na wanawalewa Hawa mavi viongozi
Msela Wa Kitaa kuna watu timu yao inawaliza huku [MWANTESA UNITED] glory glory mwantesa united karbun anfliedShida sio fedha, mipango mibovu.
Timu ya mdogo wangu hii, nikikumbuka kipindi kile alivyokuwa anajimwambafy na Babu 'JOJO' wao na refa wao kipenzi WebbMsela Wa Kitaa kuna watu timu yao inawaliza huku [MWANTESA UNITED] glory glory mwantesa united karbun anflied
Saint Anne huwa anatuita sisi Gunners fungu la kukosa. Sijui nyie Nyumbuz atakuwa anawaitaje...
Aibu tupu kwa EPL nyie.
Dogo kakiwasha italia huko alafu yeye anafunga magoli ya ufunguzi...amecontribute sio chini ya point 24 kwa huu msimu pale napoli.Oya nyie manyumbu huyu Scott Mctominay mnamuona lakini?
Kuweka logo ya hicho kikuku mbele ya sura ya mtu haina maana yoyote kwetu. Hiyo pesa ya kumnunulia ni Manyumbu na Chelkenge ndio wenye uwezo wa kuitoa. Liverpool wana Szobo na Macca tayari so hawatajihangaisha na huyu.
Upo dunia Gani wewe au upo usingizini watu washamaliza biasharaKuweka logo ya hicho kikuku mbele ya sura ya mtu haina maana yoyote kwetu. Hiyo pesa ya kumnunulia ni Manyumbu na Chelkenge ndio wenye uwezo wa kuitoa. Liverpool wana Szobo na Macca tayari so hawatajihangaisha na huyu.
Wakisema wamfukuze mie ndio bye bye 👋 kabisa na hii timu.Manchester united wasipomfukuza Amorin msimu kesho kutwa inarudi kuwa timu tishio
Eh. Kama kweli basi hongera kwao ila mpaka sasa sijaona chochote kinachoniaminisha kuwa dili limekamilika zaidi ya stori tu za mitandaoni ambazo ni kawaida kipindi kama hiki.Upo dunia Gani wewe au upo usingizini watu washamaliza biashara
Sasa unataka atangazwe kwani ligi imeisha mzee kzi imeisha huyo kijana anacheza Liverpool Bayern walikua wanafuatilia pia raisi wao kasema wamemkosa mchana huu kaongeaEh. Kama kweli basi hongera kwao ila mpaka sasa sijaona chochote kinachoniaminisha kuwa dili limekamilika zaidi ya stori tu za mitandaoni ambazo ni kawaida kipindi kama hiki.