Kama kupata ushindi unatarajia mpaka mpinzani awe pungufu wakiwa full ni majanga si uanze kujitambulisha kama hicho ni kikundi cha kunengua kama cha Small Jobiso
Nyumbu utd imebaki story tu, hii timu ilifanya dhulma nyingi sana enzi za babu ma-big G sasa ni muda wa kulipa dhulma hizo dadadek! Na bado jiandaeni kushuka daraja kabisa msimu ujao(Mark my word)
Kabla ya kuanza kwa msimu Ange Postecoglou alisema "I always win things in my second season" akasisitiza kabisa tuna mashindano manne lazima tutapita nalo moja. kumbe moja lenyewe ni dhidi ya Manyumbu
Nyumbu utd imebaki story tu, hii timu ilifanya dhulma nyingi sana enzi za babu ma-big G sasa ni muda wa kulipa dhulma hizo dadadek! Na bado jiandaeni kushuka daraja kabisa msimu ujao(Mark my word)
Yule muarabu wa Qatar wasingemzingua jamaa alikua tayari kuwekeza na kufuta baadhi ya madeni,itafika sehemu hata Mainoo atauzwa ilikuweka vitabu sawa,timu haina hela kwahio lazima walipe mishahara mikubwa ili wachezaji waje bila hivyo ndio kua na magalasa tu