Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Karibuni sana mfurahie soka maridadi kabisa kutoka kwa vijana machachari wa kocha la makombe Ruben Amorim, pia hii ni fursa nzuri sana kwa Chelkenge kujifunza namna ya kucheza mpira kwa malengo.
Na kweli tunajifunza amorini bolu tunashushia na pepsii y baridiiiii ....... sema hawa tott wananikera hawawezagi kulinda goli, labda cjui akikutana na wabovu wenzie. tuone leo.
Kombe linahitajika London
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…