Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,026
Hii tutafia uwanjaniManchester United Europa atakosa
Sie tunae amorin...japo natamani tupate kocha kama unaiUnai Emery.
Timu yoyote iliofika Uwanja WA fainali kabla ya fainali,haipati ushindi tenah man U na inter Milan msimu huu hamna chenuHii tutafia uwanjani
Ndio lengo kuu la mwaka, siamini tutafeliTimu yoyote iliofika Uwanja WA fainali kabla ya fainali,haipati ushindi tenah man U na inter Milan msimu huu hamna chenu
Hata FA Cup mwaka jana alipoteza final na Man City.
Huyu jamaa ingawa ni improved version ya malacia, lakini mimi simuamini kuanza naye msimu mpya kama starter. Hana consistency kwenye defensive na offense.Kuna huyo mchezaji wenu Dorgu kama hakai ulaya vile!! Mvuta bangi sio mvuta bangi, mkabaji sio mkabaji yaani haeleweki. Mlimtoa mkoa gani?
Washenzi tu wapumbavu sijui hua wanawaokota wapi ...maambwa tu hii timu nlimtamani ishuke daraja ili akili zitoke vinyesi walivyoweka humo kwenye ubongoUnamuangalia greenwood then unamuangalia hujlund unabaki kutikisa kichwa, hii timu haitakaa ifanikiwe Tena wallahi tukubali tu maumivu maana viongozi wamekua na maamuzi ya kipuuzi sana.
Walichofanya man city mwanzon kabisa wa kuanza kutafuta mafanikio na kuacha DNA British assholes stupid shit Britishers era, ndio tunatakiwa tufanye sisi. Walifanyaje? Tafuta ujue. Tofauti na hapo msimu ujao sio tena nafasi ya 16, tunashuka daraja.Man united mbona tunachelewa kusajili hivi shida Huwa ni nini??
Na kwanini tunasajili wachezaji wazuri lkn wakija wanakuwa wabovu, shida nini??
Na makocha wakija wanafeli japo wanakuwa makocha Bora kabla yakuja kwetu??
Yaani nje ya mabosi ineos na glazer nini tatizo?? Make me siamini wanasababisha wachezaji washindwe kupiga hata pass.
TATIZO NI NINI???
naombeni Kila mtu atoe maoni yake wakuu