Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,020
- 51,548
Kinachomuua amorim ni formation, ni the same mistake ambalo tenhug alikuwa anafanya, kuanza na mabeki watatu nyuma ni kosa kama unacheza epl, haswa kama kiungo ni cha hovyoTatizo ni Amorim au wachezaji wetu hawana uwezo wa kutoshana nguvu na timu za Premier league.
Tottenham hotspurs tutaweza?
Msimu huu wametufunga mechi 3 na tuna muda mrefu hatujawafunga.
Mkuu tuchel aliwezaje?Kinachomuua amorim ni formation, ni the same mistake ambalo tenhug alikuwa anafanya, kuanza na mabeki watatu nyuma ni kosa kama unacheza epl, haswa kama kiungo ni cha hovyo
Asikilize opinion else team itashuka daraja
Halaf akaishia wap?Mkuu tuchel aliwezaje?
Unataka kusema nin mkuu?Halaf akaishia wap?
Hujamaliza kusoma ..kamalizia kwa kiungo hovyo km Cha nyumbu....tuchel alikuwa na kante, kovacic, jorginhoMkuu tuchel aliwezaje?
Sawa mkuu lakini, DOF wa united wanajua kwanini walimleta na kwanini walitaka playstyle yake iwe applied united, ina maan hata usajiri wa kuboresha wataufanya kwakuwa wameshaona wapi panavuja.Hujamaliza kusoma ..kamalizia kwa kiungo hovyo km Cha nyumbu....tuchel alikuwa na kante, kovacic, jorginho
Mkuu amka usingizini😃Watu wanalaumu wachezaji bure tu.
Hiki kikosi cha Manyumbu akipewa Arteta anachukua ubingwa EPL. Amorim akipewa kikosi cha Arsenal anaishusha daraja mazima.
Acha bangi broo🤭Watu wanalaumu wachezaji bure tu.
Hiki kikosi cha Manyumbu akipewa Arteta anachukua ubingwa EPL. Amorim akipewa kikosi cha Arsenal anaishusha daraja mazima.
Mda utaongeaIl
Ila amorin ninamuona uwezo ndogo mno
Hivi huyu dorgu naye DOF walihusika kumleta😂Sawa mkuu lakini, DOF wa united wanajua kwanini walimleta na kwanini walitaka playstyle yake iwe applied united, ina maan hata usajiri wa kuboresha wataufanya kwakuwa wameshaona wapi panavuja.
Kweli kabisa bro. Mna bonge la kosi sema tu hamjui kulitumia. Tupeni hilo kosi au tupeni Bruno tu tuwaonyeshe namna ya kubeba makombeAcha bangi broo🤭
Amna machezaji ya man u mazito kukaba, errors kibaoKweli kabisa bro. Mna bonge la kosi sema tu hamjui kulitumia. Tupeni hilo kosi au tupeni Bruno tu tuwaonyeshe namna ya kubeba makombe
Liverpool ana tim gan sasa?,Nyie wapumbavu sasa makombe yenu ni Mickey mouse
Hamuwezi tena kushindana kwa makom be makubwa
Spurs ana wasenyenda Jumatano ijayo
"Tandarahedi"
Nani sasa hayaogopi Majogoo ya Anfield?
KWanin alipokuwa sporting alikuwa anafanya vizuri?Hivi huyu dorgu naye DOF walihusika kumleta😂
Dorgu kacheza sporting lini?KWanin alipokuwa sporting alikuwa anafanya vizuri?
Nan kasema aliwahi kucheza sporting?Dorgu kacheza sporting lini?
Ndio mkatolewa na psg ambayo ni kibonde wa man united kwenye UEFA. Nyie ni mafala kweli mmeizalilisha EPL league pamoja na mpuuzi mwenzako arsenetflix. Psg kawashenyenta kwa dharau afu unakuja umu kulopoka upumbavu wako.Nyie wapumbavu sasa makombe yenu ni Mickey mouse
Hamuwezi tena kushindana kwa makom be makubwa
Spurs ana wasenyenda Jumatano ijayo
"Tandarahedi"
Nani sasa hayaogopi Majogoo ya Anfield?