Huu ndiyo ungekuwa msimu wa 2022/23 United kule chini angeshuka daraja, maana kwenye relegation battle watu wangeshikana mashati. Msimu huu kule chini wote wabovu kwelikweli.
Kama ni kuenjoy football si Ze Ganaz tulikuwepo? Au hata Mijusi milia kina Labyrinth 84 wangekupa matumaini kuliko sisi? Ungekuwa na Carabao saivi na wewe.
Tupo kwenye mode ya ku survive tu, tuna uhakika wa kubaki ligi kuu, imagine jinsi tulivyofilisika Hadi akili tuna furahi kubaki ligi kuu maana msimu ulikuwa mzito sana huu.
Tusiposhinda hili kombe ni Bure kabisa, lazima tufanye jitihada tulichukue.
Kuna Manchester United ya Europa league na Manchester United ya ENglish Premier league, ni vitu viwili tofauti kabisa kiuchezaji na matokeo.
Europa ni unbeaten hadi tunafika fainali, EPL kila timu inajifunzia mbinu mpya kwetu na matokeo yanaonekana.