Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeona kauli aliyotoa Ruben amorim, akiwa na paul Scholes old Trafford, baada ya mechi kuisha. Amesema kuingia fainali ya Europe na spurs siyo furaha kwake, bali furaha ni kuchukua kombe hilo kwa vyovyote vile. Haitakua na maana yoyote ile tusipo beba hilo kombe. Namie nina imani 100% spurs Anakufa hiyo 21 may pale estadio de san mames bilbao(spain).
 
Niliona ameingia ubaridi alipokuwa anaongelea fainal😁
 
Hawezi kutufunga Mara tano mfululizo, hawatakuwa na James Madison na Son
 
Aisee hizi bangi 😂...ehee tia neno na kwa yule Rasta man mgogo dorgu?
 
Hii game West Ham washinde. Niliwatakia nyie mmalize nafasi ya 17, tena mpone kuwa 18 kwa goal difference tu, ili muwe na wakati mgumu wa kuponea chupuchupu kushuka daraja. Ila mmepona kwa points nyingi tu kuliko nilivyotaka lakini mpango mzima ni mmalize wa 17 halafu somehow pia mshinde Europa mje kule Champions League muwe mnagawa points 3 kwa kila mtayekutana nae.
 
Hii mechi ni ngumu sana kwetu ila sio kesi itoshe kusema kuwa una roho mbaya sana ndugu
 
Huu ndiyo ungekuwa msimu wa 2022/23 United kule chini angeshuka daraja, maana kwenye relegation battle watu wangeshikana mashati. Msimu huu kule chini wote wabovu kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…