walinikera walipowekwa Goli nikaacha ku STREAM kwanza wasile Bundle langu Baadae Roho ikaniuma nikasema acha niwaangalie Tu Pimbi hawa nakuta 𝟐 - 𝟏 mala hapo hapo 𝟑 - 𝟏. sijui wanakuwaga wapi kuleta Furaha mpaka wastuliwe na kimoja 🤣🤣.

Haina jinsi Bora wakafie uwanjani hiyo siku, wakijikaza kweli Spurs wanakufa, wakiamua wanachukua Hilo kombe lakini wakijifanya wanataka "Soni-mombo" basi tutalia. Take me home.