John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Labda km niTop 2 kutokea chiniDeal done.
Matheus cunha ndani ya nyumba, tumesajili winga Moja kutoka havre 18 yo.
Tumesajili LB LEON.
tuna heaven CB.
Tuna chido obi martin CF
Ederson wa Atalanta ananukia.
Project inakuja moto.
Man united bingwa 2027.
Na mwakani top two
Sio poa maguire anajitahidi mno.Nimecheka sana Jana.
Kwa mpira upii...unategemea kumfunga psg kwao? Pole sana.Naenda kuchukua CL unahisi najisikiaje bwana mdogo?
King maguire...Mechi ya kwanza kushinda spain
Antony at Real Betis:
10 G/A in 19 games
Antony at Man Utd:
17 G/A in 96
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨ππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨π
#ππ‘ππ―ππ§πππβ©
#ππππ
πππ§ πππ | games
View attachment 3322359View attachment 3322360
Matheus Cunha ni mchezaji wa kawaida kuliko hata GarnachoDeal done.
Matheus cunha ndani ya nyumba, tumesajili winga Moja kutoka havre 18 yo.
Tumesajili LB LEON.
tuna heaven CB.
Tuna chido obi martin CF
Ederson wa Atalanta ananukia.
Project inakuja moto.
Man united bingwa 2027.
Na mwakani top two
Abebe.Nasikia diego simione anamtaka
mNooooooooo yani kuna muda nashikwa stress ila ndio Tutalipa kisasi hujuma yao ya Carabao Goli la kitaperi.BodΓΈ wafanye jambo wiki ijayo. Bora kupoteza fainali kwa BodΓΈ kuliko Spurs, ila akija yoyote tunapiga. Bilbao, bye bye! π
Spurs wananikosesha raha, wakifika fainali watatusumbua sana hasa kama Arsenal atatolewa UCL. Ni miaka 17 imepita tangu wamebeba kombe mara ya mwisho, kufungwa na Spurs itakuwa aibu kubwa sana.
Finali Tottenham tunampiga trust memNooooooooo yani kuna muda nashikwa stress ila ndio Tutalipa kisasi hujuma yao ya Carabao Goli la kitaperi.
United bado sana. Hata mwaka ujao bado nina shaka hasa jinsi formation ya huyu kocha ilivyo ngumu. Inatakiwa wachezaji wazuri sana.Deal done.
Matheus cunha ndani ya nyumba, tumesajili winga Moja kutoka havre 18 yo.
Tumesajili LB LEON.
tuna heaven CB.
Tuna chido obi martin CF
Ederson wa Atalanta ananukia.
Project inakuja moto.
Man united bingwa 2027.
Na mwakani top two
Upo sahihiUnited bado sana. Hata mwaka ujao bado nina shaka hasa jinsi formation ya huyu kocha ilivyo ngumu. Inatakiwa wachezaji wazuri sana.
Bado kidogo malengo yetu yatimieTumempiga Bilbao bao tatu bila tena uwanja wa kwake lakini hatupigi kelele kama mtaa wa jirani kule.
Focus yetu msimu huu ilikuwa kutoshuka daraja na pia kubeba Europa.