Niamini mimi, mpinzani wetu mkuu kwenye mbio za ubingwa atakuwa city. Hao wengine watakuwa timu za kawaida sana.
Liverpool ni timu ambayo mazingira yake ya uchukuaji kombe msimu huu hata wao hawajui nini kimetokea!
Ni kama arsenal walivyopata shock baada ya kujikuta wako nusu fainali ya UCL msimu huu. Hawajui wamefikaje hapo.