Nilipokua naangalia mpira baada ya penati ya lacazete watu wakaanza kuondoka. Mimi bado nilikua nina matumaini ya comeback sababu jamaa walikua pungufu hata mainoo alivyochomoa nikamwambia mshkaji man u atapambana kupata goli 5 maana pale golini kwake kipa onana wakienda matuta hawatoboi. Faida ya kuwa na wakongwe imeonekana Bruno, maguire na casemiro waliamua kulibeba jukumu wao wenyewe