Kocha mjinga sana huyu. Mazraiui alichemka sana game ya uefa ikabidi atolewe. Wale wakali wote walichez akwa kiwango cha 100% kawaweka benchi. Ni kiburi au haijui vizuri ligi ya uingereza? Uingereza hakuna timu ndogo. Leo tena tunacheza tumeshika pumbu na panadol ziko pembeni.
View attachment 3310252