Dah bado hojilund yaani wanakela sana
Nikisema kuhusu striker wenu mnasema ooh ni mzuri haya sasa. Hata pasi inamshinda kocha nae Kuna mda anazingua sana sijui bado anampanga wa nini mara mia ampange hata Maguire namba 9 wallahi.
Ni ukweli, United ina world class players kwasababu ukilinganisha na Arsenal nitasema wana talented players + hard work + dedication + discipline + confidence.Huwezi amini wakitoka hapo wanakuambia Arsenal ina mid players ila wao wana world class players.
Hawa watu 😅😅
Utabiri wako upo vizury mpaka saivi naona unataka kuchukua nafasi ya allypipi.lyon anapigwa kama ngoma 1-2 FT
View attachment 3299459
Kwahiyo duniani hakuna kama Bruno na hakuna kama Casemiro?Ni ukweli, United ina world class players kwasababu ukilinganisha na Arsenal nitasema wana talented players + hard work + dedication + discipline + confidence.
Bruno, Casemiro, ni WCP.
Arsenal haina WCP ila haimanishii ni mid players. Kuwa WCP maana yake upo katika kundi la wachezaji bora kwa nafasi husika. Ukichukua wachezaji wa Arsenal kwa nafasi zao utakuta kuna wachezaji bora zaidi yao Duniani.
Bado tunasifia utabiri au tunalaumu 😅Utabiri wako upo vizury mpaka saivi naona unataka kuchukua nafasi ya allypipi.
Sijasema hakuna kama Bruno na Casemiro. Nilisema kuwa WCP maana yake upo kwenye kundi la wachezaji bora Duniani, na kuwa hapo lazima uwe una-perform consistently kwenye Club & County/International level.Kwahiyo duniani hakuna kama Bruno na hakuna kama Casemiro?
Ulihamia Wolves. What happened?
onana msengeUtabiri wako upo vizury mpaka saivi naona unataka kuchukua nafasi ya allypipi.
madrid atapindua meza jiandaeniPunda kabisa
Kama unamaanisha winners wa trophies za dunia mbona unaforce kumuingiza Bruno? Silva unamchukuliaje?Sijasema hakuna kama Bruno na Casemiro. Nilisema kuwa WCP maana yake upo kwenye kundi la wachezaji bora Duniani, na kuwa hapo lazima uwe una-perform consistently kwenye Club & County/International level.
Arsenal wachezaji ninaoona wanaoweza kufikia kuwa WCP ni Saka, Rice & Saliba.
World Class Player, kwa sasa inatumika vibaya mpaka mchezaji kama Yamal ambaye hajafanya lolote kwenye soka anaitwa WCP.
EPL ukisema WCP:
GK: Alisson, Ederson
Def: Vv Dijk
Mid: KDB, Bruno, Rodri, Casemiro
Fwd: Salah, Haaland, Son H-M
Nilikuwa Brighton kwa muda tu!