Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu nje ya mada kidogo, vip? Tunaweza kubeba Europe, maana hii itasaidia pia kuvutia wachezaji kwakua msimu ujao tutashiriki uefa.
 
Mkuu nje ya mada kidogo, vip? Tunaweza kubeba Europe, maana hii itasaidia pia kuvutia wachezaji kwakua msimu ujao tutashiriki uefa.

Mkuu EUROPA ni michuano ya mtoano kwa hatua imefika na Michezo ya Hivi huwa inabebwa zaidi na mbinu! UTD Mpaka sasa ni timu ambayo haijafungwa ila pia haijawa bora. Ila kwa kundi lililobaki na UTD inaimarika kiasi Uwezekano wa kuwa Bingwa Upo.

LYON wana ATT nzuri sana asee na moja ya wachezaji UTD inabidi waangalie kwenye nafasi ya L10 ni Rayan Cherki wakikutana atatoa nafasi ya kujiuza kabisa na anapatikana kwa £22m kwa sababu timu yao ina matatizo ya kifedha. UTD wana faida anzia ugenini na kurudi kwa wachezaji wengi toka Majeruhi.

Upande wa Pili wale Frankfurt sio timu ya kuichukulia poa sana!
 
Nimekupata mkuu, kiukweli bado kuna challenge kubwa kwenye kubeba EUROPA
 
Na ndiyo eneo limemfukuzisha kazi usajili wa Mason Mount haukuwa na maana yoyote ni bora Ten Hag angetumia pesa hiyo kumsajili Morgan Gibs White au Jacob Ramsey.
Ni wachezaji wakiingereza ambao wangekuwa na uwezo wa kuipandisha timu.
Nawaza sana mount amesajiliwa kwa kigezo kipi? Anastahili kufukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…