COCKINGTON
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 222
- 59
Also be proud for being beaten by the best EPL teams ....So proud of my team...beaten by the best team in Europe...
So proud of my team...beaten by the best team in Europe...
DonDonald,Nzi,Belo tutakutana Europa league mwakani. Poleni sana wakuu mmekufa kama sisi, kumbukeni kifo ni kifo kije mapema au late bado ni kifo.
So proud of my team...beaten by the best team in Europe...
Evra is a liability...we don't need him anymore...
Kweli ndio Matatizo ya player wanaoitwa New Messi! Messi ni Mmoja tu Gotze kiwango kimepotea sana.. Turudi kwenye Man United Poleni sana walichokosea baada goli ukichokoza nyuki kimbia sio unapumzika hapohapo chini ya mtu wakati United Player wanavuta Sox vizuri wenzao wamekuja Speed kama wamewaamsha Bayern Munich mapema United wangepata goli la kwanza kuwa 1-0 ingekuwa ni dk ya 80 ingekuwa habari nyengine mtazoea POLENI!Gotze kaua kipaji kabisa alivyoenda Buyern..
Barca nae kaondoka
arsenal tulipotolewa na bayern hawa hawa mlikuwa mnasema sisi ni wachovu leo bayern wamewatoa mnashangilia mmetolewa na best team.
Ntuzu, Mndengereko, Mr Rocky, Arushaone poleni sana hao ndio bayer, tumeshindwa sisi mtaweza nyinyi? Na mwakani mtaangalia kwenye tv tu ligi hiyo hahahhahahah
Barca wametolewa, lakini headline maker ni United kutolewa...
Kweli ndio Matatizo ya player wanaoitwa New Messi! Messi ni Mmoja tu Gotze kiwango kimepotea sana.. Turudi kwenye Man United Poleni sana walichokosea baada goli ukichokoza nyuki kimbia sio unapumzika hapohapo chini ya mtu wakati United Player wanavuta Sox vizuri wenzao wamekuja Speed kama wamewaamsha Bayern Munich mapema United wangepata goli la kwanza kuwa 1-0 ingekuwa ni dk ya 80 ingekuwa habari nyengine mtazoea POLENI!
hahhaha wameshazowea