Hivi tunashindwa kupata wachezaji kama Nwaneri au Marmoush kweli? Kwenye flanks unamtegemea Gara ambaye akipotezea mali anazurura..hii timu ishakua futuhi sasa
Positive thing kutokana na mkopo wake ni hivi, Mbappe, Vini, Yamal na wengine wote wapate kujifunza ball kwa Antoninho also known as Masebene View attachment 3214628