Mnapigwa hata na Crystal Palace? Na dada yenu jana tumempiga mpaka tukamuonea huruma, tukamnunulia chips kuku na soda asilie sana.
Ni dhahiri kuwa sasa wana London tunatawala ligi ingawa kuna wahuni wa Merseyside wanaleta ubishi kwenye ufalme wetu. Hao dawa yao inachemka. Tutawashughulikia tu.