Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys limeshuka

Twende nalo

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha

My prediction

Manchester united 3 vs Brighton 1

Tutapiga kama ngoma.View attachment 3206464
Screenshot_20250119_183749_FotMob.jpg
 
Yaani hawa manyumbu siyo ugenini, siyo Old Trafford, kila mtu anajichukulia points
 
Alipipi asirudie kuweka direct score,
Wachezaji wetu Wana mentality mbovu, hawatufai au wabadili mentality wajue kupambana dakika 90 kila game
Wajue wanataka nn uwanjani kuanzia dakika ya 1 mpaka ya 90
Nimekuwa nikilaumu makocha lakini sasa nimeamini, hawa wachezaji hawana mentality ya kuichezea MUFC. Ni waoga, hawajiamini hata kidogo.
 
Eti unamfunga Southampton kwa bahaaaaati bahaaaaati halafu eti unajiona unajua bolu.

Kesho tu unakutana na katoto kadogo Brighton kanakucharaza na kukukumbusha kuwa wewe Huna lolote unalojua
 
Dakika zaidi ya 100.
Unacheza nyumbani.
Una shot on target 1 tu.

Bado unajiita timu ya mpira ya EPL
 
Hakika Ruben arudi tiktok aache kudanganya watu yeye ni kocha
 
Hivi hii timu ishawahi kuwa Serious hata kidogo toka Sir Alex aondoke?? Maana ni utumbo tu wanafanya.
 
Laman nyoro anageuzwa kama lina busha mlitoa million 70🤣😀😀🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20250119-200623_1.jpg
    Screenshot_20250119-200623_1.jpg
    116.3 KB · Views: 21
Kobie maino linakimbia km lina mimba ya miez Sana😀😀😀

Ugarte anamwili wa mpira akili hana
Diogo dalot lipo kama zuzu uwanjan

Deligt limezubaa km linazecheza ndondo😀😀😀

Hamad kakipata mpira kanaenda kwenye kona ya uwanja 😀😀😀😀

Lile liarabu sijui mazurui linakaba km lina busha😀😀😀😀

Hili timu linamtesa bruno aonekane naye hajui ball
 
Back
Top Bottom