Tunataka mpaka ashindwe kucheza ht kwa dkk moja ndio itakuwa furaha yetu imetimia, leo alivyoanza roho imeniuma sana πUmbwa kabisa nyie mmetuuzia scraper kwa pesa za kusajili mchezaji mwenye Ballon d'Or.
Chukueni chezaji lenu mturudishie japo nusu ya pesa yetu matapeli wakubwa nyie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmamae mkatudanganya Freemason ni version mpya ya Christiano Ronaldo na kwenye mkataba mkatulazimisha tumpe jezi namba 7 wajaa laana nyie.Samahani wazee MOUNT kapata tatizo la kiufundi, mifumo mwilini imeshindwa kusomana, ila ni mashine ya kazi msisite kutuongezea pesa
unasema???Mmelambwa π
Kisa amefunga au sio, sisi mashabiki muendelee kubaki kushabikia tuu acheni kujifanya wachambuzi baada ya mechiNarudia tena AMAD ni MESSI
Mmefufuka eeeunasema???
Wameshinda afu bado nafasi ya 12 π sasa umuhimu wa kumfunga City uko wap πSasa nyie mmeshinda ili iweje?