Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu washinde 🤝
Chelsea timu bora pale UK nayo ishinde 🤝

Na wote tuseme tawireeeee

London is 🔵
UK is 🔵
 
Lile l dalot linanikumbusha mwanangu rama chogo

Beki halina akili linakimbia na mpira likipiga sehem ya kupiga Kross liniaishiwa nguvu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Basi ndio rama chogo alivokuwa
mwana tulikuja kungundua anapiga Sana nyeto

Ningekuwa kocha jitu la kwanza kuliuza Ni hili
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys hawa hapa kwenda kuichapa ya mama cita.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction

mama cita 1 vs Manchester united 4

tutapiga kama ngoma leo.

 
Inakuwaje kikosi kinavuja siku moja kabla ya mechi, hii skendo ya kuvujishwa kwa kikosi ni lazima waifanyie kazi.
Ni aibu, wengine wanasema garnacho anamtumia ndugu yake.

Wengine wanasema maguire, mount, rashford ilimradi balaa.

Hii ni post yake ya jana jioni
 
Kwahy inamaana kuwa anayepanga kikosi sio kocha?
Mbona huyo kwenye picha sio kocha wa nyumbuz
 
Huyo ni muandishi wa habari, ina maana kuna mtu wa ndani amemvujishia kikosi tokea jana na yeye akaamua kupost kupitia account yake ya facebook
Hii ndio sababu huyo dogo Ganarcho na Rashford hawapo kabisa kwenye bench leo?
 
Amorim si mgeni tena kwenye kikosi hiki na ipo wazi ya kwamba Dalot na mfumo wa wingback ameshindwa kabisa kucope nao bado sijajua ni sababu ipi hasa ya kiufundi inayofanya asikae benchi

pili Mazroui kucheza kama beki wa kati ktk mfumo wakati anakuwa productive zaidi akiawa kama wingback{except mechi ya leo}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…