Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wametengeneza mabango ya kuadhimisha kifo che legend wao nikadhani hata yatakua na aibu yatajishikilia kumbe haya ni mlenda kabisa
 
Confirmed: Arsenal will face Manchester United at the Emirates Stadium in the FA Cup third round on Sunday, 12 January at 3pm (UK time), live on BBC.
p

Mnakuja tena geto
Hii ndio tunawapiga mkono sasa
Oyaa Waoneeni huruma hata kidogo mazee
Hao watu wanatakiwa tuwaweke kwenye special group,tuwapende, tusiwanyanyase!!
 
Confirmed: Arsenal will face Manchester United at the Emirates Stadium in the FA Cup third round on Sunday, 12 January at 3pm (UK time), live on BBC.
p

Mnakuja tena geto
Hii ndio tunawapiga mkono sasa
Tena yote tunapiga vichwa tu
Ni waaa!...
 
Mfafukuza makocha mara ma sporting director ila kama golini yupo Onana basi mtaendelea kuumia kenge nyie. Tafuteni kipa wa kueleweka.
 
3 5 2 sijui 3 4 3 haijawahi kufanikiwa EPL alijaribu kidogo Conte na Chelsea lakini haikudumu.

Huwezi kushinda mechi na 3 5 2 au 3 4 3 Kama 90% ya wachezaji wako hawako vizuri kiuchezaji.

Ruben Amorim asipoangalia atafukuzwa kabla ya Chrismass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…