UEFA wabishi hawa kama alivyo Sepp Blater. Hawataki kabisa kuondoa hii sheria ya mid 1960 ya goli la ugenini
Wadau wengi wa soka tunapiga kelele wee aha wapi jamaa wemiziba masikio
Nakumbuka Wenger 2008 alilizungumzia katika kikao kule Viena,
Haya miaka 6 mbele bado tunayo hii sheria isiyokua na msingi wowote wakati huu