Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnamkosea sana heshima jamaa, mashabiki wengi wa United alipotaka kuchza mfumo wake mlilalamika maana timu ilifungwa game mbili za mwanzo.

Msimu uliopita nusu ya timu ilikuwa injury ni msimu huu pekee timu imekuwa na machaguo mengi.
 
Siku nyingine tena ya kuwakutanisha ma Bwenyenye Sir Jim na Tody tajiri la kutajika ili.

Vijana wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys vijana motomoto wale watatupa furaha sana leo.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction

Manchester United 3 vs Chelsea 1

Time
1:30

Pigaaaaa
Uaaaaaaaa
chinjaaaaaaa
malizaaaaaaa
Goooooal garnacho wonderful goooal.
I'm test mic😁😁

Watapigwa sana wale watoto wa bwenyenye Tod.
 
Akijifanya kuja na back3 yake hapo england kitamlamba
 
Akijifanya kuja na back3 yake hapo england kitamlamba
Huyu atakuja na back three, ndivyo anavyocheza siku zote...lazima tuwe na watu watakaoweza kufit, sokoni lazima tuingie waje watu kweli kweli, imagine tulivyospend mihela kibao, Kuna potential zitaibuka UTD Kwa kuja Kwa huyu jamaa... Imagine back three yako ina Maguire na Evans.
 
Hizi ndoto zingine kwahyo nyie mkiwa mnashinda na wao ambao wapo top 4 wazubae wapoteze km mechi 3 mfululizo? 😂😂...swala la top 4 lisahauni kabisa
 
Hizi ndoto zingine kwahyo nyie mkiwa mnashinda na wao ambao wapo top 4 wazubae wapoteze km mechi 3 mfululizo? 😂😂...swala la top 4 lisahauni kabisa
Kila mtu ashinde mechi zake nyie mashabiki wa Arsenal mmezoea kujifariji na top 4 na hukuna chenye mnaenda fanya huko uefa, ni bora mrudi kwenye nafasi zenu mlizozoea enzi za mzee Wenger. Kocha mpya wa Man u hawezi kucheza misimu saba kama Arteta bila kuchukua ligi achilia mbali vikombe vya sungura ambavyo mpaka sasa Arteta hana. Kwa ushauri tu tafuteni kocha wa kueleweka maana hayo makombara yenu ya ballistic Arteta keshayatafutia ufumbuzi wa kuyalipua juu kwa juu kabla hajamfikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…