Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana Bayern kakutana na kitu kizito pale Villa Park....tunakumbushana tu ndugu zetu
 
Jana Bayern kakutana na kitu kizito pale Villa Park....tunakumbushana tu ndugu zetu
Hapo sisi mashabiki wa Nyumbu pamoja kocha letu la ball tunakua tayari tumeshapata hoja ya kujitetea, kua Villa sio timu nyepesi kama Arsenyani, maana hata mbabe wa Kijerumani nae kapigwa spana na vijana wa Unai Emery.
 
Nakukumbusha tena....mechi ya pili ya ligi nilienda kutembelea pale Villa Park na nikagawa makwenzi ya kutosha kwa wale madogo....Sasa tumewapatia hyo kazi nyny....jitahidini majirani hata sare mpate....wakubwa wenzetu Kila siku kuwasema sio vzuri kwakwli
 
Siku nyingine tena yenye furaha jwa wapenda soka.
 

Attachments

  • Screenshot_20241001_070856_Facebook.jpg
    192.8 KB · Views: 10
haya tena jamani tumerudia zile dozi zetu kama kawa....man utd 4 sunderland 0!!!thanx to Rooney,Ronaldo na Saha leo kaja na two by two...we are on top kwa masaa machache
Safi saana leo Porto wamekoma
 
Man Utd are always the Record wRecker,safari ndio imeshaanza na Arsenal wanajua shughuli yao na Everton,Wakawaulize vijana wa bolton.Everton wana hasira ya kufungwa na Man.
Man Utd haikamatiki,ni sawasa na kutaka kukata mti mkubwa kwa kutumia wembe.
Gari limewaka
 
Hebu leo jitahidini hata draw,tumechoka kuwacheka sasa.
Afu mwambieni huyo martinez wenu acheze tena mieleka yake ili apigwe red mpate kisingizio
 
Ukiangalia jinsi mabeki wetu wanavyokaba kama una hasira unaweza kupasua Tv yako. Hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…