Ajax hupendelea kucheza 433 toka enzi za total voetbal, inawezakana haikuanzia kwao ila Jdp inakubali sana kwenye huu mfumo, i dont like double pivot, wajanja hu invert players kumsaidia holding midfielder kwenye duties zote, Rest defence na progression. Sipendi timu inayo build play kupitia kwenye flanks, unajitengenezea mazingira magumu wewe mwenyewe,
Mara Maino aswitch to CM position mara DM, ukizingatia structure haipo compact na bado una wachezaji wengi ambao si technically secured, wanagive away very easy balls, timu inafungwa magoli ya kijinga, solution ilikuwa ni kupata a proper holding mid achana na Ugarte, mbele ukawa na lcm na Rcm, receivers, huyu atafukuzwa kazi kwa vitu vya kijinga ambavyo vipo ndani ya uwezo wake, kwani aliwezaje pale Ajax paka wanafika Semis UCL?