Zikipatikana Ofa Nzuri sidhani kama kuna Haja ya kuendelea kubaki nao. Umri sio Rafiki kwao na Rashy haonyeshi Dalili zozote za Kukua.
Msimu Ukianza Bruno anakuwa amebakiza Mwaka Mmoja kwenye Mkataba wake, Yupo kwenye Gbp 240k Weekly, Rashy 375k, Shaw 200k. Hawa ukifanya Mazungumzo ya Mkataba Mpya Inabidi Uongeze Dau kitu ambacho kinaathiri Mazungumzo ya Mikataba na Wachezaji wengine huko Mbeleni.
Sahihi! Bruno, Rashy, Shaw, Casa Hawa wakati Mzuri kuwauza. Rashy amesaini mkataba Mpaka 2028 na kwa wiki anachukua 375k + Bonus, Casa anachukua 450k + Bonus, Ukiangalia Wastani wa Umri wao na Unataka tengeneza timu wote ni wa Kuondoa.
Bruno Miguel Borges Fernandes:
Bado ni Moja ya Viungo bora zaidi wa Ushambuliaji Duniani! Ila tangu Msimu Umeanza Bruno sio Yule na kuna Maamuzi Mengi sana anafanya yanagharimu Flow ya Timu, Inawezekana ni Muda Mrefu UTD Hai-Control Game With/without Possession imemuathiri kiasi flani lakini kuna haja ya yeye ku-step Up pakubwa sana
Msimu Mbichi sana ila Kama UTD Inacheza namna wamecheza na Palace na wakawa na Consistency hadi kufikia Game 10 basi kuna kitu kikubwa sana kitakuwa kimebadilika (Wamefanya sana Pre-Season changamoto ni Players wengi hawakuwemo) hapa Nafasi ya Bruno itakuwa Muhimu zaidi sababu Build Up ya 3~2~5 inampa Options Mingi sana kwenye Final Third
Kama ETH ata-Stick na Plan hii kwenda Mbele MOUNT atanufaika sana na Nafasi alokuwa anaicheza ERICKSEN Game na Palace na kizuri kumhusu Mount ana Ubora kwenye Half Turn na Energy kubwa ya Pressing lakini Passing ERICKSEN Anamzidia, Kitu kizuri ni kwamba kwa sasa kuna DEPTH Nzuri na walau yenye Quality.