Man u ya kuanzia 2014 mpaka mwaka wa huu 2024 imepoteza dira so unahitaji kocha wakurusha angalau big 4 kwa uhakika baada ya hapo ndio muwaze kuchukua ubingwa

Joshua na yule Marzouk WAPEWE NAFASI WANAELEWANA SANA pale mbele Rashidi bado sana hajakaa sawa Hojlund anarudi soon Garnacho yupo,Ugarte NINI KINAPELEKEA KUSHINDWA ?? LIMZEE MAGUIRE LIMEJIPATA UPYA,Licha ataumia soon au Redcard beki zinabaki Nyeupe DALOT kama unamchukia atakufanya umpende haongelewi ila anakituma mnoo...Ericksen walisema kaisha Juzi kakiwasha vibaya mno Hii timu Sijui Kwanini inafungwa ovyo

Wameshajifunza tayari yaani wanaweza kushinda hata goal 5 kwenye mechi moja inafuata wanafungwa kwa style hiyo confidence yakusema We are back wataitolea wapi?
Niliombea EtH abakishwe sio sababu namuelewa sana ila kwa kuwa replacement yake ingetuchukua muda mrefu zaidi kumtimua tofauti na yeye ni wa kuhesabiwa mechi tu, Boom!!!